Nehemiah 12:1-6

Makuhani Na Walawi Waliorudi Na Zerubabeli

1 aHawa wafuatao walikuwa makuhani na Walawi ambao walirudi na Zerubabeli mwana wa Shealtieli pamoja na Yeshua: Seraya, Yeremia, Ezra,
2Amaria, Maluki, Hatushi,
3Shekania, Rehumu, Meremothi,
4 bIdo, Ginethoni, Abiya,
5Miyamini, Moadia, Bilga,
6 cShemaya, Yoyaribu, Yedaya,
Copyright information for SwhKC